Safina
JF-Expert Member
- Jun 18, 2009
- 497
- 64
kwa kweli tangu nimekua na akili zangu najua wachaga hawafanyi hii kitu labda wakurwa
Hamna wewe umebadilisha mambo, wakurya wao nasikia huwa wanavivuta hili viwe virefu zaidi na vinene, ebu endelea na wewe kuchunguza maana mi nimesikia tu.