Wachaga waongo

Jamani nataka kujua km kunaviazi vinazaliwa juu ya miti, kunamchaga mmoja katupiga fix, harafu kakomaa kweli!

Teh teh teh atakuwa wa kishumundu huyo bila shaka,,,maana kuna mmoja alikua anajua Vitz itakuwa Semi Trailler baadae.

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Ndio Hivi Hivi Mkuu...Sisi Tunaviita Vimamaya

Rombo mkuu au? Hii mimea kuna haja ya kuitunza. Sina uhakika kama Tanzania ina benki ya mazao.
 
Rombo mkuu au? Hii mimea kuna haja ya kuitunza. Sina uhakika kama Tanzania ina benki ya mazao.

Rombo Moja Hii Mkuu,Ni Kweli Kabisa Manake Mingine Ishapotea Kabisa
 
Kweli wachaga waongo ila hapo hajakudanganya. Viazi vikuu huwa vinatoa mbegu kwenye majani na hutoa viazi vidogovidogo juu vikisambaa kwenye miti juu!

kuna viazi kwa kichaga vinaitwa nduu ndio vinatoaga viazi kwenye matawi yake, tena ni vizuri vitamu sanaaa, halafu vipo viazi nduu hizohizo zinauwezo wa kutoa viazi juu na chini kwenye ardhi. mm nimelima, nimekula na sehemu vinapolimwa panaitwa ndima, yaani ndimeni.hilo tu jamaa hajadanganya wazee
 
Vinaitwa Vimamaya Kwa Kichaga...Sijui Kiswahili Chake,

Rombo ya wapi hiyo tian. Kama vipi pitia hapa Mamsera kwa Mwarabu tumkomeshe 'mburu'
 
Last edited by a moderator:
Teh teh teh atakuwa wa kishumundu huyo bila shaka,,,maana kuna mmoja alikua anajua Vitz itakuwa Semi Trailler baadae.

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app

mm wa KISHUMUNDU ina maana ndio waongo.akili ikeri ifyo rako naiyo
 
Jamani nataka kujua km kunaviazi vinazaliwa juu ya miti, kunamchaga mmoja katupiga fix, harafu kakomaa kweli!

Vipo maeneo mengi kando ya ziwa Victoria pande za Tanzania na Uganda, nafikiri pia Mbeya hivyo siyo kwamba ni waongo ni wakweli ndo maana wanasema tembea uone.
 
Mie si mchaga lakini hivyo viazi vipo ..nenda marangu sehemu moja inaitwa mboni ...kashuhudie mwenyewe kama we ni tomaso..mwisho usijumlishe jamii nzima kwa kosa la mtu mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…