Tarakea@babu asprin
Jamani nataka kujua km kunaviazi vinazaliwa juu ya miti, kunamchaga mmoja katupiga fix, harafu kakomaa kweli!
Moshi kuna viazi fulani lakini sio kama hivi mviringo au vitamu. Vizaliwa juu ya mti
Ohoo, siku ukipata nauli usiache kuja hapa Mashati sokoni. Ofa ya utumbo na maini ya kuchoma haitanifanya nishindwe kusomesha watoto.
sawa kabisa Tuko ametuwekea link na picha yake ndio hiyoNdio hata mimi waliwahi kuniambia . Na siku nilipotembelea huko niriviona. Vinaitwa nduu. Kwa kimarangu.
Rombo ya wapi hiyo tian. Kama vipi pitia hapa Mamsera kwa Mwarabu tumkomeshe 'mburu'
Wewe babu mm Nipo hapa mmsera ...nyama choma kwa mwarabu tamu..
Huyu anasema waonngo hajui mamaya na nduu nni
Sawa kabisa. Kwa kichaga cha Siha vinaitwa Fiberee.vipo na kwa kimachame vinaitwa "Vipere"
Kwa kichaga cha Siha vinaitwa FIBEREENi kweli. Niliviona katika kijiji cha Kwamkunambo umachameni