vipo na kwa kimachame vinaitwa "Vipere"
vipo na kwa kimachame vinaitwa "Vipere"
Kwa hiyo huyo mmoja ndo sample ya wachaga wote..?? AU ulimuuliza chifu mangimeza..??Jamani nataka kujua km kunaviazi vinazaliwa juu ya miti, kunamchaga mmoja katupiga fix, harafu kakomaa kweli!
Kwa kichaga cha Siha vinaitwa FIBEREE
Ndiyo vipo vinaitwa nduuu na ni dawa ya presha zile nduu chungu ... na kuna nduu tamu acha kabisa hichi kiazi kitamu sana na.kikishamalizia kutoa viaz vya juu kuna vya chini vinakuwa na kama manyoya manyoya hivi vile ndio vitamy zaid
Vipo na mimi navijua nimeshaviona huku moshi hata kwetu kagera vipo vinaitwa amasoma
Ndiyo vipo vinaitwa nduuu na ni dawa ya presha zile nduu chungu ... na kuna nduu tamu acha kabisa hichi kiazi kitamu sana na.kikishamalizia kutoa viaz vya juu kuna vya chini vinakuwa na kama manyoya manyoya hivi vile ndio vitamy zaid
Kimarangu vinaitwa nduuu mizizi yake inaitwa shia wacha we
shia bwana ni viazi vikuu, na hizo nduu za juu na za chini huitwa hivyo hivyo,huanza kuvunwa za juu tena kipindi kama hiki na za chini huvunwa kuanzia mwezi wa 10,tofauti za juu ni chungu na zina maganda meusi na ndani zikiiva ni kama za njano hivi,na za chini zenyewe zina asili ya utamu na rangi yake nikama njano njano hivi.kwa lugha nyingine ni ndunyasa na nadhani ndichao kiswahili chake.
Vinatoa viazi hata chini, au unamaanisha viazi vikuu?
Umechemka manamshiki!! Shia huwa havitoi matunda juu na ni vigumu unawezavunja meno ukiwa unakula, matawi yake yana miiba miibaKimarangu vinaitwa nduuu mizizi yake inaitwa shia wacha we
Umechemka manamshiki!! Shia huwa havitoi matunda juu na ni vigumu unawezavunja meno ukiwa unakula, matawi yake yana miiba miiba