Ni jambo lialoshangaza sana kwa wateja kabila la kichaga wanapenda kitonga Sana kila huduma au bidhaa wanataka bei ya punguzo ni kero Sana Hawa watu kama unabiashara yako watu wakwanza kuwa kwepa ni Hawa wachaga sio wakuwaweka kwenye list kabisa . Kitu kingine wachaga wengi sio waaminifu unaweza ukamuachia mzigo kwa mali kauli ikija swala la kuja kulipwa inakuwa ngumu

Kwa Tanzania Hii ukitaka biashara zako ziende Fanya na Waarabu, Wachaga, Watu wote wa nyanda za juu kusini kama Iringa na njombe, Waha na wapemba.
Sisi makabila mengine bado tunajikongoja.