Wachagga na Kahawa

Mbona povu? Kwani mzee Mohammed lengo lake lilikuwa ni kuandika historia yote ya wachagga? Lengo lake ni kuandika historia ya mzee Rajabu Kirama (Allah Amsamehe na Amrehemu) na labda historia ya Uislam Uchaggani.

Na ushasema vitabu vya historia ya wachagga vipo. Sasa tatizo liko wapi? Mzee Mohammed kachagua kuandika ya Uislam huko uchaggani. Povu la nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…