Wachagga nimethibitishiwa hili na Mchagga tukuka mwenzenu je, lina ukweli au mnalikataa?

mimi nimekaa na wachagga sana,kwakweli sijaiona hii yawezekana ilikuwa ni mika fulani ya zamani kwa kutegemea koo fulani fulani
 
Ngoja nimalizie machicha ya mbege kwanza baadae nikishushia na kisusio cha damu ya mbuzi nitakujibu.
 
ni kweli mkuu ila ilikuwa ni kwa miaka ya nyuma sana na ilikuwa siyo familia zote hufanya hivi

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Hakuna ukweli wowote kwenye hilio,kulingana na Mila za kichagga dhambi ya ngono ilikuwa ikiadhibiwa Kwa kifo
 
hicho sio kitu kigumu sana. makabila mengi yapo hivyo. ambacho huwa sitaki kuamini ni pale mwanaume anapokuwa mkoa mwingine anatafuta pesa ameacha mke kule, hajarudi ila mkewe anakuwa mimba na watoto wanaofanana naye.na mke huwa anaachwa kukaa sio mbali na babamkwe kwa ajili ya ulinzi. iki kitu huwa sitaki kuamini.
 
Hakuna ukweli wowote kwenye hilio,kulingana na Mila za kichagga dhambi ya ngono ilikuwa ikiadhibiwa Kwa kifo
Tena ulikua unazikwa mzima mzima wewe na huyo mpenzi wako .

Kuna kisa kimoja pale water force marangu , kuna dada mmoja alipata mimba kabla ya kuolewa , akawa anatafutwa azikwe

Akakimbilia kule mtoni kujificha , bahati mbaya akatokea chui kumfukuza akatumbukia kwenywe maporomoko akafa .

Mpaka Leo wameweka sanamu yake na wazazi wake walipokuja kumtafuta.
 

Attachments

  • Screenshot_2023-12-31_120909.jpg
    111.9 KB · Views: 4
Hizo ni tabia za kwenu uswahilini.
Wachagga kimila na kiutamaduni ni marufuku sana sana hicho unachokisema. ZIPO MILA ZINAZOKAGUA KAMA MTOTO NI WENU AU LA. NDO MAANA MWANAMKE WA KICHAGA ANACHINJIWA MBUZI NA KUNA KAMILA HAPO NA MTOTO ANAVISHWA KANGOZI KWA MUDA KIDOGO. KAMA SIO WENU WANAKUWAGA WA HOVYO SANA. NDO MAANA KUNA MSEMO " MUULIZE VIZURI MAMA YAKO USIJEKUTA WEWE SIO WA BOMA HII" HATA AKIZIKWA KWENYE SHAMBA ANAWEZA KUWAMALIZA WOTE. MOSHI YAPO MASHAMBA MENGI HAYAKALIKI KWA SABABU HIZI.
 
Ukiwa sio mtoto wa huo mji unaweza kuchanganyikiwa kabisa mpaka upelekwe kwa baba yako wa kukuzaa unakaa sawa , tena na Mila ya nguvu ifanyike.
 
Mbona Grahams mwenzako alikuwa anafokea Sana mambo ya hovyo?[emoji3]
Huyo alikuwa ni mimi katika matukio tofauti

Kuna wakati unatakiwa kutoa kauli za kutia moyo na wakati mwingine kauli za kubembeleza.

Kwenye tukio hili inatakiwa kauli za kujenga na kutia moyo 😁

Happy 2024 in advance

πŸ₯‚
 
Wazee kwa kulitambua hilo na kuepusha malumbano walikuja na msemo wa "Kitanda hakizai haramu" Mkuu πŸ™Œ

Tuwaheshimu wazee 😜
ni kweli kwani kiwanja chako huko mkoani kikiota mbuyu utasema si wako ndugu
 
Sababu ni hii;

Makabila ya kaskazini huwa wana utaratibu wa kuvunja chungu.

Ukivunja chungu na kunuia jambo flani kwa familia flani inawakuta wote.

Hivyo wanakua na watoto wa nje ili kuspare kuangamizwa kwa familia.

Wanaume huwa ndio wanazaa nje ya ndoa kulinda familia.

Ila kama Imekua extended kwa wanawake ni jambo jipya kwangu.

Ipo hivyo.
 
Naona ni makabila mengi labda kama wameacha ,hata hao wachaga hiyo mila kitambo ipo tu kweny maandishi ila hawafanyi walishaachana nayo..
 
Mbona umechelewa kuniambiaaaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mimi ni mchaga huyo mwanamke labda wakimbulu aliyehamia marangu.

Wachag hatuna huo ujinga

Karibu kidari hapa cha mbuzi...
 
Upo sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…