Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwahiyo pamoja na kusali kote huko wachagga mmetawaliwa na mizimu na mashetani ambayo ndiyo yanagorvern koo zenu. ajabu sana.Hizo ni tabia za kwenu uswahilini.
Wachagga kimila na kiutamaduni ni marufuku sana sana hicho unachokisema. ZIPO MILA ZINAZOKAGUA KAMA MTOTO NI WENU AU LA. NDO MAANA MWANAMKE WA KICHAGA ANACHINJIWA MBUZI NA KUNA KAMILA HAPO NA MTOTO ANAVISHWA KANGOZI KWA MUDA KIDOGO. KAMA SIO WENU WANAKUWAGA WA HOVYO SANA. NDO MAANA KUNA MSEMO " MUULIZE VIZURI MAMA YAKO USIJEKUTA WEWE SIO WA BOMA HII" HATA AKIZIKWA KWENYE SHAMBA ANAWEZA KUWAMALIZA WOTE. MOSHI YAPO MASHAMBA MENGI HAYAKALIKI KWA SABABU HIZI.
Hapana sio mwanamke ndie aletw WA nnje ni mwanaume apige nnje"Kwa Mila zetu Wachagga ni kwamba Mwanamke yoyote yule wa Kichagga akiolewa licha ya Kumzalia Watoto huyo Mumewe lakini pia anatakiwa Kuchanganya Damu ( Kuzaa Mtoto wa Nje ya Ndoa ) ili ikitokea hawa Watoto aliozaa na Mumewe wa Ndoa wamepatwa na Janga baya la Ugonjwa basi kuwepo na Mtoto Mwingine ambaye ni mzima na huyu ni wa Nje ya Ndoa" amesema Mwanamke wa Kichagga kutoka Marangu alipokuwa akizungumza na Mdadisi na Mchokonoaji Tukuka GENTAMYCINE jana Jioni.
Taratibu sasa naanza Kumuamini na Kumuelewa kwani kuna Familia Tatu za Kichagga zote zina Watoto Wanne Wanne ila zote hizo kuna Watoto ambao hawafanani kabisa na Wenzao Watatu ndani ya hizo Familia zao.
Haya Ndugu zangu mliooa au mtakaooa Wanawake wa Kichagga kulea Mabao yasiyo yenu ni jambo la kawaida hivyo kuweni tu Wavumilivu kwani Wanawake wa Kichagga wanadumisha Mila za Kwao Mkoani Kilimanjaro ( Moshi )
Kazi ipo.....!!
📌📌📌Wazee kwa kulitambua hilo na kuepusha malumbano walikuja na msemo wa "Kitanda hakizai haramu" Mkuu 🙌
Tuwaheshimu wazee 😜