Wachagga nimethibitishiwa hili na Mchagga tukuka mwenzenu je, lina ukweli au mnalikataa?

Mila hizo zimetungwa na wanaume wa kichaga kuruhusu wake zao kuchepuka ili kuepuka hicho ulichokisema?
 
kwahiyo pamoja na kusali kote huko wachagga mmetawaliwa na mizimu na mashetani ambayo ndiyo yanagorvern koo zenu. ajabu sana.
 
Hapana sio mwanamke ndie aletw WA nnje ni mwanaume apige nnje
 
Mila hii ipo kwa wanaume lakini saiv i kama imepotea,Anaezaliwa nje Anaitwa Kilinda ukoo.Mara nyingi Mama anakua hajui ila inafanywa kama kuna mtu alinuia chochote kibaya kimachoteketeza familia flan ,

Ikitokea nuizo hilo familia yote Italy Kutoka kwa vifo Au namna nyingine lakini Yule mtoto wa nje anapona.

Baadae kama hakuna shida basi mtoto Yule anachukuliwa kwa kwenda kukombolewa na wazee kutoka kwa ukoo ule kuja huku uchagani,Kwa kuwasikiliza watu wa kule Upande wa mwanamke alikozaliwa.

Atachinjwa mbuzi na mila nyingine ndipo mtoto atakapo pokelewa huku kwa baba yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…