L Leonel Ateba Mbinda JF-Expert Member Joined Feb 20, 2023 Posts 644 Reaction score 2,695 Apr 30, 2023 #1 Wachambuzi feki wamebaki kuandika viroja na kutukana serikali tu kwa kutouangalia uwanja, tunataka mtuambie hii mechi ikivunjika kwa sababu ya taa CAF watachukua hatua gani? Utopolo wameshapoteza mechi tayari
Wachambuzi feki wamebaki kuandika viroja na kutukana serikali tu kwa kutouangalia uwanja, tunataka mtuambie hii mechi ikivunjika kwa sababu ya taa CAF watachukua hatua gani? Utopolo wameshapoteza mechi tayari
Franky Samuel JF-Expert Member Joined Oct 10, 2018 Posts 5,195 Reaction score 13,785 Apr 30, 2023 #2 Umeanza kuangalia mpira mwaka 2020 hujui hata sheria za mpira