Wachambuzi feki tuambieni mchezo ukivunjika ktk hali hii uamuzi gani utatolewa?

Wachambuzi feki tuambieni mchezo ukivunjika ktk hali hii uamuzi gani utatolewa?

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Wachambuzi feki wamebaki kuandika viroja na kutukana serikali tu kwa kutouangalia uwanja, tunataka mtuambie hii mechi ikivunjika kwa sababu ya taa CAF watachukua hatua gani?

Utopolo wameshapoteza mechi tayari
 
Back
Top Bottom