Wachambuzi karibuni hapa

Wachambuzi karibuni hapa

NUHWAHI

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2014
Posts
306
Reaction score
490
Napenda kusikia maneno yenu hasa ya kiingereza. Nichambulieni timu ya taifa SAO TOME PRINCIPE na mechi zake za kufuzu AFCON, hii ni kwa wachambuzi tu, wengne tuwe wasomaji.

ZINGATIENI TULE TUMISAMIATI
 
Napenda kusikia maneno yenu hasa ya kiingereza... Nichambulieni timu ya taifa SAO TOME PRINCIPE, hii ni kwa wachambuz tu. wengne tuwe wasomaji...
ZINGATIENI TULE TUMISAMIATI
Walizidiwa possession na Nigeria

Second balls waliziwin Nigeria

Hawakuwa na Shot on Goals

Nigeria waliwa press kwa juu sana

Osihmen alipiga Hattrick

Nigeria walikuwa clinical kwenye kuattack jambo lililowafanya Sao Tome kukosa balance na kuruhusu Goli nyingi
 
Walizidiwa possession na Nigeria

Second balls waliziwin Nigeria

Hawakuwa na Shot on Goals

Nigeria waliwa press kwa juu sana

Osihmen alipiga Hattrick

Nigeria walikuwa clinical kwenye kuattack jambo lililowafanya Sao Tome kukosa balance na kuruhusu Goli nyingi
asante kwa kuzingatia maagzo.... andaa suti ujongee TVE au MAWINGU
 
Back
Top Bottom