Wachambuzi kwa nini wanakomaa sana na issue ya Inonga?

bulabo

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2015
Posts
628
Reaction score
780
Mechi ya ngao ya jamii ni kweli Inonga alicheza rafa lakini wachambuzi issue za SIMBA wanaongea na kuchonga sana.

Ukiangalia DJUMA waliwah kumchezea rafu kama hiyo BM3 mechi ay Yanga Vs Simba lakini wachambuzi hawakuongea chochote.

Nyie wachambuzi acheni njaaa mnakera sana
 
Wachambuzi uchwara kama Paul Mnkai na wahuni wenzake wameifanya Sports Arena ya Wasafi kama kitengo cha propaganda cha Yanga. Kama leo hii wamemuita Angetile ambaye ni Yanga na ana ugomvi na uongozi wa TFF ili atoe maoni unategemea kupata maoni yenye kujenga kweli.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Umesahau na ishara ya matusi aliyotoa bangala
 
Wataalam Katika maamuzi 'Marefa' wameshasema lile lilikuwa tukio la kawaida sana mchezoni, sana sana aliyekuwa anastahili adhabu alikuwa Abubakari salum aliyehamaki na kurudishia kulipiza...!

Lakini wachambuzi uchwara ambao wana mahaba aina ya 'Utoplo toplo' Wanakomaa......! Acheni Kumuiga Manara ...Manara kwa Sasa ana donge limemkaba kooni Kwa Kufukuzwa Simba Hlf Kufungiwa Miaka Miwili.
 
Kama hufurahishwi na taarifa za hao wachambuzi, potezea! Au sikiliza/angalia taarifa nyingine zitakazo kuvutia.

Ni ushauri tu lakini. Hivyo hakuna sababu ya kuanza kutukanana hapa.
 
Mechi ya ngao ya jamii ni kweli Inonga alicheza rafa lakini wachambuzi issue za SIMBA wanaongea na kuchonga sana.

Ukiangalia DJUMA waliwah kumchezea rafu kama hiyo BM3 mechi ay Yanga Vs Simba lakini wachambuzi hawakuongea chochote.

Nyie wachambuzi acheni njaaa mnakera sana
Hayo matukio yote ni ya msimu huu?
 
Mechi ya ngao ya jamii ni kweli Inonga alicheza rafa lakini wachambuzi issue za SIMBA wanaongea na kuchonga sana.

Ukiangalia DJUMA waliwah kumchezea rafu kama hiyo BM3 mechi ay Yanga Vs Simba lakini wachambuzi hawakuongea chochote.

Nyie wachambuzi acheni njaaa mnakera sana
We unaona ile rafu ya kitoto?

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Mechi ya ngao ya jamii ni kweli Inonga alicheza rafa lakini wachambuzi issue za SIMBA wanaongea na kuchonga sana.

Ukiangalia DJUMA waliwah kumchezea rafu kama hiyo BM3 mechi ay Yanga Vs Simba lakini wachambuzi hawakuongea chochote.

Nyie wachambuzi acheni njaaa mnakera sana
We unaona ile rafu ya kitoto?

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Wataalam Katika maamuzi 'Marefa' wameshasema lile lilikuwa tukio la kawaida sana mchezoni, sana sana aliyekuwa anastahili adhabu alikuwa Abubakari salum aliyehamaki na kurudishia kulipiza...!

Lakini wachambuzi uchwara ambao wana mahaba aina ya 'Utoplo toplo' Wanakomaa......! Acheni Kumuiga Manara ...Manara kwa Sasa ana donge limemkaba kooni Kwa Kufukuzwa Simba Hlf Kufungiwa Miaka Miwili.
Mpira tuachie sisi wewe kashabikie taarab mana ndo vitu unavyoendana navyo aisee
 
Ila wabongo wakati mwingine akili finyu sana. Kwani kipindi kile huyo Djuma si alifungiwa na kamati? Unataka waongee wakati mtu kashafungiwa?

Hii wanaongea sababu ukiacha na kadi ya njano ambayo kimsingi ni nyekundu refa alipuyanga hakuna chochote kamati imefanya.

Halafu ile sio rafu ya kawaida labda kama umezoea kucheza ndondo cup mchangani.
 
Mechi ya ngao ya jamii ni kweli Inonga alicheza rafa lakini wachambuzi issue za SIMBA wanaongea na kuchonga sana.

Ukiangalia DJUMA waliwah kumchezea rafu kama hiyo BM3 mechi ay Yanga Vs Simba lakini wachambuzi hawakuongea chochote.

Nyie wachambuzi acheni njaaa mnakera sana
Hao mbwa issue ikiwa inahusu Simba wanaikomalia sanaa, sijui gsm anawatembezea bahasha
 
Wataalam Katika maamuzi 'Marefa' wameshasema lile lilikuwa tukio la kawaida sana mchezoni, sana sana aliyekuwa anastahili adhabu alikuwa Abubakari salum aliyehamaki na kurudishia kulipiza...!

Lakini wachambuzi uchwara ambao wana mahaba aina ya 'Utoplo toplo' Wanakomaa......! Acheni Kumuiga Manara ...Manara kwa Sasa ana donge limemkaba kooni Kwa Kufukuzwa Simba Hlf Kufungiwa Miaka Miwili.
Hii ni comment ya kipumbavu tangu mwaka uanze
 
Wachambuzi uchwara kama Paul Mnkai na wahuni wenzake wameifanya Sports Arena ya Wasafi kama kitengo cha propaganda cha Yanga. Kama leo hii wamemuita Angetile ambaye ni Yanga na ana ugomvi na uongozi wa TFF ili atoe maoni unategemea kupata maoni yenye kujenga kweli.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Yule yusufu mdule ndio yanga wa waziwazi yaan jamaa yule hamna kitu
 
Ile rafu ingekua kwa wenzetu ulaya ilikua ni strait red kadi. Tusipotezeane hapa
 
Mechi ya ngao ya jamii ni kweli Inonga alicheza rafa lakini wachambuzi issue za SIMBA wanaongea na kuchonga sana.

Ukiangalia DJUMA waliwah kumchezea rafu kama hiyo BM3 mechi ay Yanga Vs Simba lakini wachambuzi hawakuongea chochote.

Nyie wachambuzi acheni njaaa mnakera sana
FB_IMG_1661863979799.jpg
 
Utoplo toplo mtaacha lini kulia lia Na kulalamika....Kweli nyie ni Fc Kinye . Tukio la Kawaida saaana Lile kwenye Soka...Hiyo picha mnato haikupi 3D vision Wale Wanaojua Fizikia Wamenielewa.
 
Back
Top Bottom