OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Shida ni pale unapotaka kuchambua kila kitu.
Mkuu wa idara ya habari Simba....
Anafurahia team yake inapata mileage ( wote tunaelewa umuhimu).
Hayo ni mafanikio kwake kama mtu wa habari......
Anakuja mchambuzi ambaye yeye hudhani ana akili anaongea anayoongea.
Unajiuliza tatizo nini? Hupati jibu.....
Elimu yake ya Huko mkwawa Iringa ni Shida?
Unajua sio tatizo mbona hata Magufuli alisoma hapo.
Unakuja na Hitimisho labda amekosa Content ndio maana atafanya juu chini azungumzwe.
Au anadhani ana akili sana kumbe sio.