Wachambuzi maandazi hata kupostiwa CAF inawauma?!

Wachambuzi maandazi hata kupostiwa CAF inawauma?!

Inashangaza sana,jitu zima linaumizwa na mtu kuinjoi maisha yake
Huwa ni dalili za ushoga hizo. Sisi wanaume huwa kila mtu ana mind his own business. Yaani watu wanaumia Simba kuwa posted? How? Wanaumia Simba kufurahia kuwa posted? How? Wana tabia za kichawi na kishirikina tabia za wanawake wagumba...inashangaza sana.
 
Sasa akijisifu kuwa posted. Wewe unawashwa wapi? Maana sometimes binadamu mnapatwa na kichefu chefu kwa watu ambao hawajawapa hata ujauzito. Mi si mpenzi wa hizi team sana. Ila sometimes naona kama kuna watu wanaumia kwa vitu ambavyo havipaswi kuwaumiza. Mwingine ana furaha yake kwa mambo yake binafsi. WEWE UNAUMIA? WHY?
Wewe umewashwa nini na maoni yangu? una mimba?
 
Kuna watu wana wivu mamaeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tatizo la wachambuzi tu sipopostiwa ohoo timu zetu ndogo hatujui kujibrand tukipostiwa ohhh ushamba yani tabu tu ndyo maana tozo zinaongezeka tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huwa ni dalili za ushoga hizo. Sisi wanaume huwa kila mtu ana mind his own business. Yaani watu wanaumia Simba kuwa posted? How? Wanaumia Simba kufurahia kuwa posted? How? Wana tabia za kichawi na kishirikina tabia za wanawake wagumba...inashangaza sana.
Ungekua una mind your own business usinge tokwa povu kwa maoni yangu coz are my business
 
Kuumia nafsi kunaonyeshwa na dalili tofauti. Mojawapo ni hiyo.
 
Mkuu una wivu wa kishamba sana. Yaani unaumia mtu kuifanyia marketing timu yake. Haaa haaa
Yani Mimi nione wivu vitu kama hivi? Aisee wewe una shida kichwani.
 
Attachments

  • IMG-20220920-WA0004.jpg
    IMG-20220920-WA0004.jpg
    56.5 KB · Views: 2
Mkuu OKW BOBAN SUNZU huyu Farhan ashawahi kukiri kua yeye ni shabiki kindaki ndaki wa simba.

Sidhani kama andiko lake lina chuki yoyote ila sana sana amejaribu ku 'express' mawazo yake juu ya akaunti ya CAF kupost hizi timu zetu.
 
Mkuu nami naelewa ni shabiki wa Simba, namkosoa kama shabiki mwenzangu wa Simba. No hate
 
Back
Top Bottom