OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Mkuu wa idara ya habari Simba....
Anafurahia team yake inapata mileage ( wote tunaelewa umuhimu).
Hayo ni mafanikio kwake kama mtu wa habari......
Anakuja mchambuzi ambaye yeye hudhani ana akili anaongea anayoongea.
Unajiuliza tatizo nini? Hupati jibu.....
Elimu yake ya Huko mkwawa Iringa ni Shida?
Unajua sio tatizo mbona hata Magufuli alisoma hapo.
Unakuja na Hitimisho labda amekosa Content ndio maana atafanya juu chini azungumzwe.
Au anadhani ana akili sana kumbe sio.
Kwa vile imepostiwa simba ikaonekana post imepata engagement kubwa kutoka kwa mashabiki wa simba je ilipopostiwa uto juzi kuna mcha🐐 alietoa mlio?Mchambuzi yuko sawa kabisa
Wajinga wachache sana wanataka kuwapangia watu maisha na namna ya kuyafurahia. Utaahira huo unaweza kuulinganisha na ule wa kundi kubwa la mashabiki Old Trafod wakiimba na kurukaruka kuipa morali timu yao? Acheni kupangia watu staili za maisha, regarding amezingatia utu na hakuvunja sheria.Kua mashabiki wa Simba,Yanga inabidi uwe na ka-utaahira flani ndani yako.
Na huo utaahira wenyewe tunaushuhudia hapa hapa Kwa mleta uzi.Kua mashabiki wa Simba,Yanga inabidi uwe na ka-utaahira flani ndani yako.
Haibadilishi chochote, utaahira uko palepale.Wajinga wachache sana wanataka kuwapangia watu maisha na namna ya kuyafurahia. Utaahira huo unaweza kuulinganisha na ule wa kundi kubwa la mashabiki Old Trafod wakiimba na kurukaruka kuipa morali timu yao? Acheni kupangia watu staili za maisha, regarding amezingatia utu na hakuvunja sheria.
Kaeni mjifunze kuhusu hobby na addiction za soka. Hatujazungumzia mtu kukesha bar akifurahi maisha, hatujazungumzia mtu kutiana na demu wake usiku kucha wakila bata, hatujazungumzia shabiki wa Barca akimwaga chozi Messi kuondoka. Ila tunaona Simba na Yanga wehu kushabikia timu na mambo ya timu zao. Ptuuuuuuu
Cha kushangaza wenyewe ujihisi ni genius.Na huo utaahira wenyewe tunaushuhudia hapa hapa Kwa mleta uzi.
Nmeona Ahmed Alli anajisifu ku postiwa mpka nikashangaaView attachment 2363251
Shida ni pale unapotaka kuchambua kila kitu.
Kama imekuuma sana nenda kashtaki CASNmeona Ahmed Alli anajisifu ku postiwa mpka nikashangaa
Sasa akijisifu kuwa posted. Wewe unawashwa wapi? Maana sometimes binadamu mnapatwa na kichefu chefu kwa watu ambao hawajawapa hata ujauzito. Mi si mpenzi wa hizi team sana. Ila sometimes naona kama kuna watu wanaumia kwa vitu ambavyo havipaswi kuwaumiza. Mwingine ana furaha yake kwa mambo yake binafsi. WEWE UNAUMIA? WHY?Nmeona Ahmed Alli anajisifu ku postiwa mpka nikashangaa
Huna lolote, huna mamlaka ya kupangia watu life style. Kaa na makasiriko yakoHaibadilishi chochote, utaahira uko palepale.
Inashangaza sana,jitu zima linaumizwa na mtu kuinjoi maisha yakeSasa akijisifu kuwa posted. Wewe unawashwa wapi? Maana sometimes binadamu mnapatwa na kichefu chefu kwa watu ambao hawajawapa hata ujauzito. Mi si mpenzi wa hizi team sana. Ila sometimes naona kama kuna watu wanaumia kwa vitu ambavyo havipaswi kuwaumiza. Mwingine ana furaha yake kwa mambo yake binafsi. WEWE UNAUMIA? WHY?
Hapo ndio point ya Farhan ilipo.. utashangaa umbumbumbu wa hawa ndugu zetu wanapoanza kumshambulia mchambuzi hata Kwa jambo lililo wazi kiasi hiki..Nmeona Ahmed Alli anajisifu ku postiwa mpka nikashangaa
Haina shida, utaahira nao Ni kipaji mkuu.Huna lolote, huna mamlaka ya kupangia watu life style. Kaa na makasiriko yako
Kwa hiyo kosa la Ahmed kujisifia. Huu ujinga ni kuridhiHapo ndio point ya Farhan ilipo.. utashangaa umbumbumbu wa hawa ndugu zetu wanapoanza kumshambulia mchambuzi hata Kwa jambo lililo wazi kiasi hiki..
Hawa jamaa baada ya kunyang'anywa makombe yote na Yanga wamekuwa ni watu wakutia huruma sana..
Sasa hivi mafanikio waliyobaki nayo ni kuchukua kombe la kupostiwa page ya caf[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]