Wachambuzi maandazi hata kupostiwa CAF inawauma?!

Inashangaza sana,jitu zima linaumizwa na mtu kuinjoi maisha yake
Huwa ni dalili za ushoga hizo. Sisi wanaume huwa kila mtu ana mind his own business. Yaani watu wanaumia Simba kuwa posted? How? Wanaumia Simba kufurahia kuwa posted? How? Wana tabia za kichawi na kishirikina tabia za wanawake wagumba...inashangaza sana.
 
Wewe umewashwa nini na maoni yangu? una mimba?
 
Kuna watu wana wivu mamaeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tatizo la wachambuzi tu sipopostiwa ohoo timu zetu ndogo hatujui kujibrand tukipostiwa ohhh ushamba yani tabu tu ndyo maana tozo zinaongezeka tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ungekua una mind your own business usinge tokwa povu kwa maoni yangu coz are my business
 
Usipoliona tatizo hapo kwenye hizo screenshots mbili basi wewe ni wa kupimwa akili.
Mkuu una wivu wa kishamba sana. Yaani unaumia mtu kuifanyia marketing timu yake. Haaa haaa
 
Kuumia nafsi kunaonyeshwa na dalili tofauti. Mojawapo ni hiyo.
 
Mkuu OKW BOBAN SUNZU huyu Farhan ashawahi kukiri kua yeye ni shabiki kindaki ndaki wa simba.

Sidhani kama andiko lake lina chuki yoyote ila sana sana amejaribu ku 'express' mawazo yake juu ya akaunti ya CAF kupost hizi timu zetu.
 
Mkuu OKW BOBAN SUNZU huyu Farhan ashawahi kukiri kua yeye ni shabiki kindaki ndaki wa simba.

Sidhani kama andiko lake lina chuki yoyote ila sana sana amejaribu ku 'express' mawazo yake juu ya akaunti ya CAF kupost hizi timu zetu.
Mkuu nami naelewa ni shabiki wa Simba, namkosoa kama shabiki mwenzangu wa Simba. No hate
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…