Wachambuzi pia huchambuliwa

kondoa huyo kitenge. Labda apewe kitengo pale Yanga. Hana lolote
 
Kuna wale jamaa wa RFA wako vzr
 
Aisee kuna jamaa wa RFA anaitwa Dickson Mpilipili nae anajitahidi kwakweli.

Privaldinho anapiga sana kelele redioni na hakuna cha maana anachoongea, ajikite kuandika "tetesi" zinamfaa sana, yaani apite mule kwa F.Romano, Micky Jnr, Nuhu Adams, atatoboa zaidi
 
Wanogeshaji.
1. Ricardo Momo - Wasaf Fm
Segment yake kwenye kipindi (Za Ndani) inavutia sana. Ni kama segment ya U Heard ya XXL

2. Mbwiga Mbwiguke
Sijui yu wapi ila kipindi yuko Clouds alitisha sana
Huyo mbigwa ilikua ukifika session yake nazima radio kabisa, alikua anaongea ujinga mtupu, Nilikua simuelewi kabisa.
 
Nakubaliana nawe kwa yote uliyoandika...
 
Bora oscar oscar wewe sio huyo lea

Jamaa anatoaga maboko afu hapo hapo anawekwa sawa na oscar oscar
 
Ukiwa mjanja mjanja wa maneno mengi na kukariri majina ya timu na wachezaji wa soka kama Priva unakua mchambuzi wa soka.
 
Bongo mchambuzi wa soka ni mmoja tu George Ambangile. Yan huyu jamaa n mwalim, hata kama haufatilii mpira utaanza kuufatilia

Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
 
Huyu jamaa anaitwa farhan

Anajitahidi sema ikifika swala la Simba uchambuzi wake hujaa ushabiki zaidi

George Ambangile/ Ali kamwe /Ali mayai ndo wachambuzi walau wanaongea vitu katika uhalisia
Uko sahihi ila Ali kamwe anaharibika siku hizi kumuiga Oscar ukatuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…