SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Yule ni mdaku kazi yake kusambaza umbea tu kama changudoaNaomba kufahamu Ricadomomo naye ni mchambuzi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule ni mdaku kazi yake kusambaza umbea tu kama changudoaNaomba kufahamu Ricadomomo naye ni mchambuzi?
kondoa huyo kitenge. Labda apewe kitengo pale Yanga. Hana loloteKwa waongozaji:
1. Alex Lwambano (Clouds FM)
Jamaa anajua kuiteka hadhira. Huongea kwa lugha rahisi na uchagizaji wake huwakilisha maoni ya mashabiki wengi wa mpira. Namkubali sana.
2. Maulid Kitenge (E FM)
Mwamba anajua, ana vionjo vingi vya kumteka msikilizaji. Namkubali ila siku hizi kapungunza utulivu kidogo.
3. Tunu Hassan Shenkome ( E FM)
Mdada yuko vizuri, huleta mada flani tata ambapo akina Oscar huingia kichwakichwa! Namfananisha na Lwambano kwa clouds.
5. Prischa Kishamba (Clouds FM) .. wa kawaida.
6. Mwanaidi Suleiman (Wasaf FM)
Huyu amna kitu kabisa zaidi ya kuchekacheka.
7. Yusuf Mkule (Wasaf FM )
Anajitahidi ila bado ana mengi ya kujifunza, pia apunguze kumuiga Kitenge.
Kuna wale jamaa wa RFA wako vzrKwa wachambuzi.
Wakali wangu ni hawa.
1. Mwl Kashasha (RIP)- TBC
2. Amri Kiemba -Clouds
3. Jeff Leah - E FM
4. George Ambangile - WASAF FM
5. Eddo Kumwembe - WASAF FM
Huyu hana maneno mengi ila anaeleweka ( Short and clear)
6. Ally Mayai -Azam Tv
Wabovu wangu:
1. Oscar Oscar - E FM
Huyu hutumia nguvu nyingi
2. Jemedari Said E- FM
Hutumia nguvu nyingi kueleweka
3. Ibrahim Masoud - E FM
Ana ujuaji mwingi
4. Shaffih Dauda - Clouds
Mjuaji na hutumia nguvu nyingi
5. Salama Nghale - U FM
Anabebwa na jinsia yako, uwezo wa kawaida sana. Ni mweupe kichwani kama Prisca Kishamba
Yule anachojua tu kusema Ni ZA NDANI KABISAAANaomba kufahamu Ricadomomo naye ni mchambuzi?
Huyo mbigwa ilikua ukifika session yake nazima radio kabisa, alikua anaongea ujinga mtupu, Nilikua simuelewi kabisa.Wanogeshaji.
1. Ricardo Momo - Wasaf Fm
Segment yake kwenye kipindi (Za Ndani) inavutia sana. Ni kama segment ya U Heard ya XXL
2. Mbwiga Mbwiguke
Sijui yu wapi ila kipindi yuko Clouds alitisha sana
[emoji23][emoji23]jf bhana..Yule ni mdaku kazi yake kusambaza umbea tu kama changudoa
Nakubaliana nawe kwa yote uliyoandika...Kwa wachambuzi.
Wakali wangu ni hawa.
1. Mwl Kashasha (RIP)- TBC
2. Amri Kiemba -Clouds
3. Jeff Leah - E FM
4. George Ambangile - WASAF FM
5. Eddo Kumwembe - WASAF FM
Huyu hana maneno mengi ila anaeleweka ( Short and clear)
6. Ally Mayai -Azam Tv
Wabovu wangu:
1. Oscar Oscar - E FM
Huyu hutumia nguvu nyingi
2. Jemedari Said E- FM
Hutumia nguvu nyingi kueleweka
3. Ibrahim Masoud - E FM
Ana ujuaji mwingi
4. Shaffih Dauda - Clouds
Mjuaji na hutumia nguvu nyingi
5. Salama Nghale - U FM
Anabebwa na jinsia yako, uwezo wa kawaida sana. Ni mweupe kichwani kama Prisca Kishamba
Hawqmzidi mwalimu kashashaHuyo jamaa namkubali sana,akina Edo Kumwembe huwa wanapitia jamaa anapopita!He is clever!
RFA huwa siisikiliziKuna wale jamaa wa RFA wako vzr
Kipindi chao siku ganiKuna wale jamaa wa RFA wako vzr
Bora oscar oscar wewe sio huyo leaKwa wachambuzi.
Wakali wangu ni hawa.
1. Mwl Kashasha (RIP)- TBC
2. Amri Kiemba -Clouds
3. Jeff Leah - E FM
4. George Ambangile - WASAF FM
5. Eddo Kumwembe - WASAF FM
Huyu hana maneno mengi ila anaeleweka ( Short and clear)
6. Ally Mayai -Azam Tv
Wabovu wangu:
1. Oscar Oscar - E FM
Huyu hutumia nguvu nyingi
2. Jemedari Said E- FM
Hutumia nguvu nyingi kueleweka
3. Ibrahim Masoud - E FM
Ana ujuaji mwingi
4. Shaffih Dauda - Clouds
Mjuaji na hutumia nguvu nyingi
5. Salama Nghale - U FM
Anabebwa na jinsia yake, uwezo wa kawaida sana. Ni mweupe kichwani kama Prisca Kishamba
Mbwiga ni mnogeshaji. Unamuonea. Anafurahisha. Yule si mchambuzi. Ni mshehereshaji.Huyo mbigwa ilikua ukifika session yake nazima radio kabisa, alikua anaongea ujinga mtupu, Nilikua simuelewi kabisa.
Bongo mchambuzi wa soka ni mmoja tu George Ambangile. Yan huyu jamaa n mwalim, hata kama haufatilii mpira utaanza kuufatiliaTuwachambue wachambuzi wetu wa soka
Nasikia wanaingia sana JF kusikilizia pale tunapo wachambua na wao
Mimi naanza na wachambuzi wa Clouds Media haswa Sports Extra
WAONGOZAJI ni
Prisca Kishamba
Alex Lwambano
Mkazuzu
WACHAMBUZI
Shafii Dauda
Edgar Kibwana
Coutinho
Yahaya Njenge
Amri Kihemba
Privaldinho
Faram Kihamwe
Issa Marda
James Turpa Turpa
Kwa waongozaji sina neno nao sana wanajitahidi ingawaje Prisca anaoneka mweupe kiaina na Lwambano ni mswahili sana(anafurahisha) yaani huwa anawakilisha mawazo ya wale mashabiki wa kawaida kabisa kwa jinsi anayofanyaga assumptions zake
WACHAMBUZI
Privaldinho
Itoshe tu kusema hamna kitu pale zaidi ya kuremba remba sauti na ujuaji
Haka kajamaa bora kaende tu kwenye field yake ya sheria, huku miyeyusho sana
Coutinho
Huyu anaijua vizuri sana basketball na yuko vizuri kuichambua
Ni mmoja wa wachambuzi wa ki theory zaidi kuliko FACTS, anaonekana yupo vizuri ila anakuaga bias linapokuja swala la Liverpool
Edgar Kibwana
Mzee wa what a game, what a come back, what a goal[emoji23][emoji23]
Huyu bwana kwa kutaja kiufasaha majina ya vilabu haswa vya italiano mbona utampenda
Kiujumla ni mjanja mjanja flani hivi kwenye uchambuzi na ana vitakwimu fulani hivi
Yahya Njenge, Farahn Kihamwe na Issa Maeda
Hawani ni aina ya wachambuzi wa kujenga sana theory kuliko uhalisia
Wakianza porojo za kwa nini Simba haifungi yaani atatengeneza equation, formula, ikapanda ikashuka sijui mfumo tactical effect yaani blah blah mingiiiii
Amri Kiemba
Huyu ndio mtu pekee pale clouds media anajua kuchambua mpira wa miguu kwa FACTS au Professional opinion.
Ligi ya kibongo anachambua kwa fact haswa nakitaalamu bila kuvuta maneno mengii, anakua mtamu zaidi muongozaji akiwa Lwambano halafu aanze kumchagiza kuhusu ligi za bongo na figisu zake
Shaffi Dauda
Mzee wa controversial
Ujuaji mwingii
Anaweza akatoa mtazamo wake bongo nzima ikasimama kumjadili, akina Manara wataitisha hadi na media
anajitahidi kiasi chake
James Turpa Turpa[emoji23][emoji23]
Huyu jamaa ni comedian
Kama unataka kupata habari za michezo kikomedi basi huyu jamaa atakufaa
Nini maoni yako?
J3 mpaka Ijumaa kuanzia saa mbili na dk 5 asubuhiKipindi chao siku gani
Hao sio wachambuzi wa soka hao ni watoa maoni tu.Hebu tupe tathimini ya
Oscar Oscar
Jemedari saidi
Uko sahihi ila Ali kamwe anaharibika siku hizi kumuiga Oscar ukatuni.Huyu jamaa anaitwa farhan
Anajitahidi sema ikifika swala la Simba uchambuzi wake hujaa ushabiki zaidi
George Ambangile/ Ali kamwe /Ali mayai ndo wachambuzi walau wanaongea vitu katika uhalisia