Wachambuzi tupewe maua yetu ushindi wa Simba

Wachambuzi tupewe maua yetu ushindi wa Simba

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Leo ndio nimeamini kuwa benchi la Simba linafuatilia maoni yetu hapa jf ...Kwa Hilo nawapa hongera

Juzi nilitoa ushauri wa jinsi wydad Casablanca watakavyo shinda kirahisi Kwa makosa madogo madogo yatakayosababishwa na mnyama....but naona benchi liliona hili na kulifanyia kazi ....hivyo ikawa kinyume chake .... wydad ndio alifanya makosa

Nilitoa warning kwenye matumizi ya chances....pia naona kocha alilifanyia kazi Simba wametumia chances kiumakini 85% ya chances something that's wonderful

NB Mpira Sasa Africa unakuwa kutoka Kwa utawala wa waarabu .....japo ni kama wydad hawakuwa serious Jana...kiasi kwamba wydad wangekutana na medeana... Hata 7 wydad angepigwa
1702896814034.jpg
 
Nilitoa warning kwenye matumizi ya chances....pia naona kocha alilifanyia kazi Simba wametumia chances kiumakini 85% ya chances something that's wonderful
Benchika anaweza akasikiliza ushauri wa watu wawili tu Yanga, JK na baba Manara. Wengine mliobaki madishi yalishayumba

1703050904951.png
 
Back
Top Bottom