Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Leo ndio nimeamini kuwa benchi la Simba linafuatilia maoni yetu hapa jf ...Kwa Hilo nawapa hongera
Juzi nilitoa ushauri wa jinsi wydad Casablanca watakavyo shinda kirahisi Kwa makosa madogo madogo yatakayosababishwa na mnyama....but naona benchi liliona hili na kulifanyia kazi ....hivyo ikawa kinyume chake .... wydad ndio alifanya makosa
www.jamiiforums.com
Nilitoa warning kwenye matumizi ya chances....pia naona kocha alilifanyia kazi Simba wametumia chances kiumakini 85% ya chances something that's wonderful
NB Mpira Sasa Africa unakuwa kutoka Kwa utawala wa waarabu .....japo ni kama wydad hawakuwa serious Jana...kiasi kwamba wydad wangekutana na medeana... Hata 7 wydad angepigwa

Uchambuzi: Simba atafungwa Wydad kwa makosa madogo
Salaam Wana jf Kama mchambuzi mahiri hapa mjini JF Kila nikijaribu kuitazama kiundani hii mechi ya Simba vs Wydad....naona ngoma ngumu Nmejaribu hata kubashiri Kwa kutumia science ya asili bado mitambo inafeli .....but Kwa kutumia experience ya timu ya simba mwaka huu haya ni mambo...