Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakati Leicester city wanachukua league epl walikua na kikosi gani kuzidi vingine?Mleta mada yupo sawa. Kwa kikosi alichonacho Barca au Madrid kwa sasa huwezi kusema wanashinda dhidi ya timu zenye vikosi imara kama PSG,BAYERN na Man City.
Hauendani kivipi ww umebase kwenye prediction sasa kila sport analysts Ana mtazamo wake wa nani anaeza shinda,sasa tatiZo ni nini apo
Huyo mdada wa kigoma anaitwa Nani?Clouds linapokuja suala la ushabiki wa timu ni Utopolo,Barcelona,na Man U.
Hawajawahi kuwasema vibaya hizo timu hapo juu.Huwa zinapewa ushindi tu.
Wachezaji wao ni Messi, Ronaldo kwao ni wa kawaida.
Tusila kisinda na Sarpong ni wachezaji bora zaidi- tuwape muda.
Kifupi ukiwasikiliza utajua tu watakachoongea linapokuja suala la timu
hizo.
Isipokuwa tu yule mdada wa Kigoma anaipenda Chelsea.