Wachambuzi wa mchongo wameanza kuwatetea waamuzi

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Leo tumeona jinsi alivyowabeba utopolo na sasa wachambuzi wanachukua muda mrefu sana kuwatetea.

Mpira unatoka nje anaruhusu uendelee na goli linapatikana.

Mwamuzi anawanyima penalty ya wazi Azam na anawapa Utopolo penalty ya utata.

Anawaacha utipolo wanacheza faulo anapeta wakati akianguka mchezaji wa utopolo kidogo kipenga kinalia.

Morrison anamkanyaga maksudi mchezaji wa Azam huku mwamuzi wa pembeni anaangali na mwamuzi wa kati akiwa karibu na hakuna adhabu yoyote iliyotolewa.

Utopolo mnabebwa sana.
 
Kiufupi refa Ahmed Arajiga mpira ulimshinda, kama si kupuyanga kwa matukio haya.

Penalty ya Dube

Bajana Red Card

Morrison Red Card

Goli la kusawazisha kwa Yanga ilhali mpira ulitoka nje.

Halafu bado kuna Timu ambayo inadai wanaonewa na Karia.!
 
Na wewe ni mchambuzi?
 
Wewe ni pungu, yale magoli ya feisal yametokana na mpira uliotoka?
 
🦁Mikia Fc mtiti WA Jana unawaumiza roho🤔..Ingekuwa nyie mngekula 5.
 
Kiufupi refa Ahmed Arajiga mpira ulimshinda, kama si kupuyanga kwa matukio haya.

Penalty ya Dube

Bajana Red Card

Morrison Red Card

Goli la kusawazisha kwa Yanga ilhali mpira ulitoka nje.

Halafu bado kuna Timu ambayo inadai wanaonewa na Karia.!
Ndio yanalipwa maonezi ya Karia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…