Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ongelea na card nyekundu ambayo alipaswa kumpa bajana lakini hakumpa!!usiwe kama mwanamke unaleta mipasho tu bila kuangalia uhalisiaLeo tumeona jinsi alivyowabeba utopolo na sasa wachambuzi wanachukua muda mrefu sana kuwatetea.
Mpira unatoka nje anaruhusu uendelee na goli linapatikana
Mwamuzi anawanyima penalty ya wazi Azam na anawapa Utopolo penalty ya utata
Anawaacha utipolo wanacheza faulo anapeta wakati akianguka mchezaji wa utopolo kidogo kipenga kinalia.
Morrison anamkanyaga maksudi mchezaji wa Azam huku mwamuzi wa pembeni anaangali na mwamuzi wa kati akiwa karibu na hakuna adhabu yoyote iliyotolewa.
Utopolo mnabebwa sana