Leo tumeona jinsi alivyowabeba utopolo na sasa wachambuzi wanachukua muda mrefu sana kuwatetea.
Mpira unatoka nje anaruhusu uendelee na goli linapatikana
Mwamuzi anawanyima penalty ya wazi Azam na anawapa Utopolo penalty ya utata
Anawaacha utipolo wanacheza faulo anapeta wakati akianguka mchezaji wa utopolo kidogo kipenga kinalia.
Morrison anamkanyaga maksudi mchezaji wa Azam huku mwamuzi wa pembeni anaangali na mwamuzi wa kati akiwa karibu na hakuna adhabu yoyote iliyotolewa.
Utopolo mnabebwa sana