Wachambuzi wa michongo tunaomba mrudie hesabu zenu

Mpaka sasa matumaini pekee ni kuomba timu zaidi ya moja ishindwe kufuzu klabu bingwa msimu ujao ambazo kwenye top ten. Wakati huo huo ni kuomba Setif asinyanyue kombe la klabu bingwa
 
Wewe jibu hoja,unazunguka nini? Btw tunafanya huu mjadala kwakuwa Simba ipo katika hiyo level,kusingekuwepo na mjadala kama huu endapo Simba ingekuwa kama wale wa Kawaida Utopolo huko
Mama wa NATO kila sehemu we huongoza kwa ubishi. Hasara uliyonayo Ukraine inateketea na Kolo fc kashatolewa

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…