ngajapo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2012
- 1,782
- 3,525
niko poa kabisa kwani kuna shida gani!! kama ni mech mbona simba imecheza vizuri kabisa au we utoh ulitakaje?[emoji16] unajisikiaje kwa sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
niko poa kabisa kwani kuna shida gani!! kama ni mech mbona simba imecheza vizuri kabisa au we utoh ulitakaje?[emoji16] unajisikiaje kwa sasa
Mama wa NATO kila sehemu we huongoza kwa ubishi. Hasara uliyonayo Ukraine inateketea na Kolo fc kashatolewaWewe jibu hoja,unazunguka nini? Btw tunafanya huu mjadala kwakuwa Simba ipo katika hiyo level,kusingekuwepo na mjadala kama huu endapo Simba ingekuwa kama wale wa Kawaida Utopolo huko
Ngapi huko?Kwa ni wewe bado hujui kama Orlando kesho wanafungasha virago.... ubishi wenu tu nyie wana utoh..