Wachambuzi wa mpira Azam hawana weledi

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Nadhani wanabahatisha tu wanachokichambua kuhusu uwezo wa clubs na matokeo ya mechi. Wanachanganya na mahaba ya timu.
 
Wale jamaa wanaochambua mashindano ya caf ( kina Othman) wako smart Sana , kifupi wanajua Sana pia mayayi Alli naye safi
 
Mara zote anachoongea kinapishana sana na matokeo baada ya mechi kwisha. Anaweza kusema hii timu haiko vizuri Leo itakiona cha mtemakuni, lakini matokeo yakawa kinyume chake Kwa mbali.
Bet at you own risk usifate maneno yangu mimi kusema timu flani itashinda simaanishi unifate

Sent using Damu ya Yesu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…