Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bet at you own risk usifate maneno yangu mimi kusema timu flani itashinda simaanishi unifateMara zote anachoongea kinapishana sana na matokeo baada ya mechi kwisha. Anaweza kusema hii timu haiko vizuri Leo itakiona cha mtemakuni, lakini matokeo yakawa kinyume chake Kwa mbali.
Omba kazi hiyoNadhani wanabahatisha tu wanachokichambua kuhusu uwezo wa clubs na matokeo ya mechi. Wanachanganya na mahaba ya timu.
Nadhani wanabahatisha tu wanachokichambua kuhusu uwezo wa clubs na matokeo ya mechi. Wanachanganya na mahaba ya timu.