Wachambuzi wa soka bongo vihiyo...........................................

Wachambuzi wa soka bongo vihiyo...........................................

only83

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
5,343
Reaction score
2,527
Moja ya sifa ya mchambuzi makini katika jambo lolote ni lazima awe na ufahamu wa hali ya juu wa jambo analolichambua....siku za hivi karibuni baada ya kuvamiwa na ukoloni mambo leo katika soka na tukajikuta tumelowea kushabikia timu za ulaya kama Man U,Man City,Arsenal,Chelsea nk wamejitokeza wachambuzi ambao mimi sichelei kusema kuwa ni vihiyo..wao kazi yao ni kukariri majina ya wachezaji na kutudanganya kwa uwezo wao wa kukariri majina magumu ya kizungu....Kasomeni kwanza sio mnatuletea ujanja ujanja tu...................
 
Back
Top Bottom