Wachambuzi wa soka naombeni jibu hapa!!

Umenikimbusha mbali wakati Mamsapu wangu ambaye kwa kweli mpira wa miguu umempitia kushoto! Siku moja aliponiuliza " eti kwa hiyo golikipa, au beki na wenyewe wanaruhusiwa kufunga goli?"

Basi nilimjibu tu kwa upole "ndiyo, anaweza! Mpira wa miguu ni tofauti na netball! Mchezaji yeyote yule anaruhusiwa kufunga"! Basi alishangaa kweli.
 
Hata vikitoka vyote, goli litahesabika
 
Hili swali inabidi liulizwe na mwanamke ila sio kidume.
Goli linafungwa hata kwa tumbo iweje kwa mguu usio na kiatu liwe mjadala!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…