Smart codetz
JF-Expert Member
- Jan 25, 2023
- 218
- 875
Sasa afadhali wajue hicho kiingereza unakuta mtu anaingiza neno la kiingereza halina mantiki yoyote na anachoongelea.Bongo tuna wasimuliaji wa matukio baada ya mechi ambao wanachanganya kingereza na kiswahili kunogesha masimulizi yao ila hatuna wachambuzi
Mjanja mjanja wa takwimuKwa bahati mbaya sana uchambuzi wa soka letu ni kiki, wachambuzi wanaotrend mitandaoni ila kwenye uchambuzi ni bure. Kuna baadhi ya wachambuzi ni wazuri ila hawako active sana mitandaoni. Binafsi huwa nauelewa sana uchambuzi wa Ramadhan mwaduke
Sana kwa kiasi fulani anazo fact kuhusu mpira na huwa hakimbii swali. Anajibu kila hoja tena kwa reference ya mifano.Mjanja mjanja wa takwimu
WAPUMBAVU HAO HASA JEMEDARI SAIDI {MWANGA/MCHAWI} NA MWENZAKE ORUMA{MINJINO}Wachambuzi: mechi zidi ya watunisi! Nabi Sio Kocha wa mechi za kimataifa, Yanga wanapaswa kutafuta Kocha mwingine wa kuwavusha!
Baada ya gemu na Tp Mazembe! Wachambuzi Nabi ni Kocha wa kimataifa, angalia namna anafanya sub zake, timu inacheza vizuri kila eneo!
Hawa jamaa[emoji16]
View attachment 2529461Wa
Umesoma shule gani na mwalimu wako wa kiswahili ni nani?Wacha
Mbuzi
Wacha
Mbuzi
Ni wacha Mbuzi hivyo tu,