Smart codetz
JF-Expert Member
- Jan 25, 2023
- 218
- 875
Wachambuzi: mechi zidi ya watunisi! Nabi Sio Kocha wa mechi za kimataifa, Yanga wanapaswa kutafuta Kocha mwingine wa kuwavusha!
Baada ya gemu na Tp Mazembe! Wachambuzi Nabi ni Kocha wa kimataifa, angalia namna anafanya sub zake, timu inacheza vizuri kila eneo!
Hawa jamaa😁
Wa
Baada ya gemu na Tp Mazembe! Wachambuzi Nabi ni Kocha wa kimataifa, angalia namna anafanya sub zake, timu inacheza vizuri kila eneo!
Hawa jamaa😁