Wachambuzi wa Vita vya Iran na Israel & Marekani, Mlikuwa wapi 29 Oktoba 2025 watoto wetu walipouawa?

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Wachambuzi wa Vita vya Iran na Israel&Marekani, Mlikuwa wapi 29 Oktoba 2025? Acheni unafiki.

Ukiona mtu anajifanya kuchambua jinsi Iran imechakazwa, Comment neno lolote baya akasirike

Mwisho wa kunukuu

​
 
Kumsikiliza mchambuzi wa siasa Tanzania ni kumpoteza wakati, mkumbuke yule Bansen Bana, alipopewa ubalozi uchambuzi ukakata, ni njaa tu ilikuwa ikimsumbua; ni waoga wanaogopa kukamatwa.
 
Wachambuzi wa Vita vya Iran na Israel&Marekani, Mlikuwa wapi 29 Oktoba 2025? Acheni unafiki.

Ukiona mtu anajifanya kuchambua jinsi Iran imechakazwa, Comment neno lolote baya akasirike

Mwisho wa kunukuu

Za uso! Makavu live..!
1772937051900.jpg
 
Wabongo kila kitakachosemwa itakumbushwa tarehe 29 October hata kama havina uhusiano wowote.

Waliumizwa sana na vifo vile lakini sio kila kinachofanyika kinakuwa na uhusiano na siku ile mbaya katika historia ya Tanzania.
 
Wachambuzi wa Vita vya Iran na Israel&Marekani, Mlikuwa wapi 29 Oktoba 2025? Acheni unafiki.

Ukiona mtu anajifanya kuchambua jinsi Iran imechakazwa, Comment neno lolote baya akasirike

Mwisho wa kunukuu

Ndugu hawa wachambuzi wetu wengi wanajulikana sana kwa majina hadi wanakoishi haya mambo ya October 29 wangeyachambua unafikiria wangebaki hai hadi sasa??Wanapenda sana kuchambua ila tatizo siasa zetu za kuteka teka
 
Back
Top Bottom