Ni suala la ajabu sana kwa mtanzania anayeishi Tanzania na HALI hii ya maishà, eti naye anafanya propaganda ya vita vya mashariki ya kati.
Kama kweli una akili si ufanye propaganda ya kuondoka umasikini unao kukabili.
Ukiona habari hata hujaihakikisha unawahi kupost, wakati huu wa vita huwezi kuamini BBC, skynews, Al Jazeera na social media za magharibi na middle east mpaka ufanye utafiti wa kutosha.
Mfano Jana usiku mtu mmoja kapost Irani amerusha makombora 300, sijui hii taarifa aliitoa wapi. Kama hujui kimombo na namba hujui, kwa kweli upo uzushi mwingi.
Nimeanza kufuatilia jamii forums mwaka 2014, tangu mwaka huo sijawahi kupost chochote, na si kwamba sijui kuzusha naheshimu wasomaji nisije nikapost utumbo.
Turudi kwenye akili zetu kidogo.
Mashariki ya kati ni sehemu muhimu sana Kwa sababu ndio chimbuko la dini kuu tatu ambazo zinagusa wanadamu wa mabara yote, hivyo usicheze na hisia na Imani za watu. Kama ni ushabiki liko jukwaa la michezo.
Acha michezo utaumia