NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Salamaleko babu NALIA NGWENA.Kila nikifungulia Redio ni Yanga Sc vs Mamelodi Tena wachambuzi wanaamini kabisa kuwa Yanga sc itafungwa maana wanavyoipamba Mamelody Fc Kama shabiki una moyo mdogo unaweza usiende uwanjani.
Hii Yanga Sc itawashangaza Wachambua mchele wa kibongo na Africa nzima. Hii ndiyo nafasi ya Yao kwasi, Aziz k, Pacome, Max Nzengeli kuonekana kimataifa na mataifa Yao kuona umuhimu wao.
Wachambuzi hawaongelei mechi ya Simba sc vs Al ahly wanaamini kuwa Simba sc kamzoea Al ahly sc na siyo mechi ngumu Ila kiukweli wachambuzi wa MCHONGO wanalipwa ili kuwafariji AYUBU FC.
njaa zinawasumbuaKila nikifungulia Redio ni Yanga Sc vs Mamelodi Tena wachambuzi wanaamini kabisa kuwa Yanga sc itafungwa maana wanavyoipamba Mamelody Fc Kama shabiki una moyo mdogo unaweza usiende uwanjani.
Hii Yanga Sc itawashangaza Wachambua mchele wa kibongo na Africa nzima. Hii ndiyo nafasi ya Yao kwasi, Aziz k, Pacome, Max Nzengeli kuonekana kimataifa na mataifa Yao kuona umuhimu wao.
Wachambuzi hawaongelei mechi ya Simba sc vs Al ahly wanaamini kuwa Simba sc kamzoea Al ahly sc na siyo mechi ngumu Ila kiukweli wachambuzi wa MCHONGO wanalipwa ili kuwafariji AYUBU FC.
Mamelodi story nyingine, Al Ahly km yule aliepigwa 4-0 na Yanga anaitwa Belouzdad ni Baba 1 Mama mbalimbali wote waarabubaada miaka 28 ndio marahii Yanga inatinga robo cafcl,tofauti na Simba ambao kilamwaka wamo.
ushaelewa?
Siku hizi nimegundua kuna channel nyingi sana za Youtube Tanzania zinazochambua mpira wa Yanga na mamelodi tu, ambao haujachezwaBongo hakuna wachambuzi Kuna wachambaji tu.
Utamkataa jumamosiMtu mfupi anaitwa Marcello Allender injini ya Mamelodi huyo anaamua timu iende kwa mwendo na speed gani wafumbe macho au warudi reverse [emoji91] [emoji38][emoji2303]
View attachment 2943695
Pamoja na speed yake Alishindwa kuamua mbele ya TP MAZEMBEMtu mfupi anaitwa Marcello Allender injini ya Mamelodi huyo anaamua timu iende kwa mwendo na speed gani wafumbe macho au warudi reverse [emoji91] [emoji38][emoji2303]
View attachment 2943695
Ouyaaa mtasababisha Uto wasilete timu uwanjani sasa. Yaani mpaka nimeanza kuwaonea huruma.Mtu mfupi anaitwa Marcello Allender injini ya Mamelodi huyo anaamua timu iende kwa mwendo na speed gani wafumbe macho au warudi reverse π₯ πππ½ββοΈ
View attachment 2943695
KWELI KABISASasa mchambuzi amchambue kibu, fred, Bubacar sarr, jobe, saidoo dhid ya Ahly ivi inaingia akilini kweli!!
Hivi vitu havitokei kwa bahati mbaya.
Ata uko Cairo wachambuzi 80% wana ichambua mechi ya Yanga na Mamelodi kwakua ndio mechi ya wiki la Caf.
[emoji16]mpaka jumamosi tunaona mbali mana imeshakua kero