Wachambuzi wanachambua sana Yanga Sc vs Mamelodi Fc kuliko mchezo wa Simba sc vs Al Ahly

Wewe umepona lini gonjwa hili baya?
 
TOKA MPIGWE KONO LA NYANI AKILI YAKO HAIPO SAWA KABISA[emoji16]
 
Simba vs Al Ahly hakuna Cha ajabu. Washacheza mara kibao tu hivi karibuni, Simba akishinda, Ahly akishinda na suluhu pia. Kwa hiyo limekua ni jambo la kawaida tu (Mtu kula Samaki).

Ila Yanga vs Mamelody hili ni jambo geni kidogo. Yanga ilichezaga na Mamelody ya kipindi kile ambayo haikua ikitisha sana. Sababu ni timu ambazo hazijuani imekua issue kidogo (Samaki kula mtu).
 
Hao wachambuzi wa mchele aki Jemedari Said mbwiga wa mbwiga na wenzie.
 
baada miaka 28 ndio marahii Yanga inatinga robo cafcl,tofauti na Simba ambao kilamwaka wamo.
ushaelewa?
Miaka 50 Chelsea SC ndiyo ikacheza fainali za UEFA champions league kwa mara ya kwanza 2012 ikiwa ilishatanguliwa na Arsenal SC 2006, hatimaye Chelsea SC ilinyakua ubingwa wa SC ikabeba tena 2021 hadi klabu bingwa ya dunia 2022 January.

Kamwe usikariri maisha, kutangulia si kufika.

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
maneno ya kiswahili unayapeleka kwenye soka la Duniani huko.we vipi bana.
 
Mechi ya Simba na Al Ahaly imesha zoeleka ndo maana watu hawa ichambui sana.
 
kwa sababu mechi ya simba haina mvuto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…