Linguistic JF-Expert Member Joined Mar 16, 2021 Posts 3,669 Reaction score 8,268 Jan 14, 2022 #1 Wakuu wanaharakati ambao ni wachambuzi wa mpira naona wanashindana kila mtu kujua maana ya tukio la Kigonya jana Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu wanaharakati ambao ni wachambuzi wa mpira naona wanashindana kila mtu kujua maana ya tukio la Kigonya jana Sent using Jamii Forums mobile app
OKW BOBAN SUNZU Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 53,868 Reaction score 121,001 Jan 14, 2022 #2 Yanga zile njia mlizopanga kupitisha kombe zitumieni kuandamana Simba kupewa penati
Cvez JF-Expert Member Joined May 19, 2018 Posts 4,405 Reaction score 13,411 Jan 14, 2022 #3 OKW BOBAN SUNZU said: Yanga zile njia mlizopanga kupitisha kombe zitumieni kuandamana Simba kupewa penati Click to expand... Kitendawili "Alienda na kombe hakurudi nalo"
OKW BOBAN SUNZU said: Yanga zile njia mlizopanga kupitisha kombe zitumieni kuandamana Simba kupewa penati Click to expand... Kitendawili "Alienda na kombe hakurudi nalo"