Watu wanakurupuka na takwimu bila kutumia mbogo zao sawa sawa, viongozi wa Yanga ni watu mskini Sana wanajua walifanyaloWatu mnaoleta takwimu za GERMAN MACHINE… mtakua hamfaham mpira!
Mpira umebadilika siku hizi…
Carlo anceloti akiwa Everton alipigika saana lakini haikuwazuia REAL MADRID kumchukua tena.
Vincent kompany beki kisiki wa man city, Aliishusha Burnley Daraja lakini Bayern Munich walimsajili na Ndio kocha lao…
Siku hizi timu nyingi zinaangalia mfumo wa kocha kama unaendana na timu yao…
Huyu kocha pale galaxy ameiunda timu msimu wa kwanza, msimu unaofata boss akauza 1st eleven yote akaunda tena timu ikawa tishio, msimu ulioisha tena boss akauza kikosi cha kwanza 😅
Imagine mara mbili mfululizo boss anauza top quality players na Ndio maana kocha akaamua kujiuzulu pale Galaxy!
Wana yanga wenzangu- huyu kocha ni balaa… tujivunie GERMAN MACHINE wetu!
German ShephardWatu mnaoleta takwimu za GERMAN MACHINE… mtakua hamfaham mpira!
Mpira umebadilika siku hizi…
Carlo anceloti akiwa Everton alipigika saana lakini haikuwazuia REAL MADRID kumchukua tena.
Vincent kompany beki kisiki wa man city, Aliishusha Burnley Daraja lakini Bayern Munich walimsajili na Ndio kocha lao…
Siku hizi timu nyingi zinaangalia mfumo wa kocha kama unaendana na timu yao…
Huyu kocha pale galaxy ameiunda timu msimu wa kwanza, msimu unaofata boss akauza 1st eleven yote akaunda tena timu ikawa tishio, msimu ulioisha tena boss akauza kikosi cha kwanza 😅
Imagine mara mbili mfululizo boss anauza top quality players na Ndio maana kocha akaamua kujiuzulu pale Galaxy!
Wana yanga wenzangu- huyu kocha ni balaa… tujivunie GERMAN MACHINE wetu!
Ogopa dalaliWatu mnaoleta takwimu za GERMAN MACHINE… mtakua hamfaham mpira!
Mpira umebadilika siku hizi…
Carlo anceloti akiwa Everton alipigika saana lakini haikuwazuia REAL MADRID kumchukua tena.
Vincent Kompany beki kisiki wa Man City, Aliishusha Burnley Daraja lakini Bayern Munich walimsajili na Ndio kocha lao
Siku hizi timu nyingi zinaangalia mfumo wa kocha kama unaendana na timu yao…
Huyu kocha pale galaxy ameiunda timu msimu wa kwanza, msimu unaofata boss akauza first eleven yote akaunda tena timu ikawa tishio, msimu ulioisha tena boss akauza kikosi cha kwanza 😅
Soma Pia: Rasmi: Sead Ramovic amrithi Gamondi! Atangazwa kuwa Kocha Mkuu mpya wa Yanga
Imagine mara mbili mfululizo boss anauza top quality players na Ndio maana kocha akaamua kujiuzulu pale Galaxy!
Wana Yanga wenzangu- huyu kocha ni balaa… tujivunie GERMAN MACHINE wetu!
Hapa ndio kuna sababau ya kumwajili huyu..wabongo tunapenda GPA za kwenye makaratasi tu....Watu mnaoleta takwimu za GERMAN MACHINE… mtakua hamfaham mpira!
Mpira umebadilika siku hizi…
Carlo anceloti akiwa Everton alipigika saana lakini haikuwazuia REAL MADRID kumchukua tena.
Vincent Kompany beki kisiki wa Man City, Aliishusha Burnley Daraja lakini Bayern Munich walimsajili na Ndio kocha lao
Siku hizi timu nyingi zinaangalia mfumo wa kocha kama unaendana na timu yao…
Huyu kocha pale galaxy ameiunda timu msimu wa kwanza, msimu unaofata boss akauza first eleven yote akaunda tena timu ikawa tishio, msimu ulioisha tena boss akauza kikosi cha kwanza 😅
Soma Pia: Rasmi: Sead Ramovic amrithi Gamondi! Atangazwa kuwa Kocha Mkuu mpya wa Yanga
Imagine mara mbili mfululizo boss anauza top quality players na Ndio maana kocha akaamua kujiuzulu pale Galaxy!
Wana Yanga wenzangu- huyu kocha ni balaa… tujivunie GERMAN MACHINE wetu!
Wachambuzi wanakwambia hajawahi kufika top 4 Psl /Hajawahi kucheza CAFCL /anashika mkia Psl
joseph1989Watu mnaoleta takwimu za GERMAN MACHINE… mtakua hamfaham mpira!

Tabora utd hawajashuka daraja na chikola bado yupo,sa sijui itakuwaje?Umemaliza kila kitu
Wanaopiga kelele ni mbumbumbu
Hao hawawezi kukuelewa
Watashangaa wanapigwa 5 tena
Tatizo tabora hawajashuka daraja na chikola bado yupo. Sa sijui itakuwaje?Hapa ndio kuna sababau ya kumwajili huyu..wabongo tunapenda GPA za kwenye makaratasi tu....
Wachambuzi wanakwambia hajawahi kufika top 4 Psl /Hajawahi kucheza CAFCL /anashika mkia Psl
Tena ile ya miti kabisa.Mnaweza kusifia ukakuta huyo kocha ni mswaki
Atawafunga makolo goli 5Ni kocha mzuri wasi wasi wangu ni siku sisi yanga tutakapokutana na tabora united halafu wakatufunga goli 3 sijui tutamfukuza kama gamondi au tutamvumilia? Diara anasema amechokwa kufungwa goli 3.