Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 3,506
- 6,305
Mswaki wa Miti wa msikiziTena ile ya miti kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mswaki wa Miti wa msikiziTena ile ya miti kabisa.
Next season Chikola ni mwananchi mtoto wa Jangwani.Tabora utd hawajashuka daraja na chikola bado yupo,sa sijui itakuwaje?
Ameshinda nini cha maana mpaka kuwa kocha mzuri?Watu mnaoleta takwimu za GERMAN MACHINE… mtakua hamfaham mpira!
Mpira umebadilika siku hizi…
Carlo anceloti akiwa Everton alipigika saana lakini haikuwazuia REAL MADRID kumchukua tena.
Vincent Kompany beki kisiki wa Man City, Aliishusha Burnley Daraja lakini Bayern Munich walimsajili na Ndio kocha lao
Siku hizi timu nyingi zinaangalia mfumo wa kocha kama unaendana na timu yao…
Huyu kocha pale galaxy ameiunda timu msimu wa kwanza, msimu unaofata boss akauza first eleven yote akaunda tena timu ikawa tishio, msimu ulioisha tena boss akauza kikosi cha kwanza 😅
Soma Pia: Rasmi: Sead Ramovic amrithi Gamondi! Atangazwa kuwa Kocha Mkuu mpya wa Yanga
Imagine mara mbili mfululizo boss anauza top quality players na Ndio maana kocha akaamua kujiuzulu pale Galaxy!
Wana Yanga wenzangu- huyu kocha ni balaa… tujivunie GERMAN MACHINE wetu!
Bandiko limekaa kimpira zaidi kuliko ushabiki. Sijui wachambuzi wamejifunzia wapi hiyo taaluma. Wanaendeshwa zaidi na utimu kuliko facts.Watu mnaoleta takwimu za GERMAN MACHINE… mtakua hamfaham mpira!
Mpira umebadilika siku hizi…
Carlo anceloti akiwa Everton alipigika saana lakini haikuwazuia REAL MADRID kumchukua tena.
Vincent Kompany beki kisiki wa Man City, Aliishusha Burnley Daraja lakini Bayern Munich walimsajili na Ndio kocha lao
Siku hizi timu nyingi zinaangalia mfumo wa kocha kama unaendana na timu yao…
Huyu kocha pale galaxy ameiunda timu msimu wa kwanza, msimu unaofata boss akauza first eleven yote akaunda tena timu ikawa tishio, msimu ulioisha tena boss akauza kikosi cha kwanza 😅
Soma Pia: Rasmi: Sead Ramovic amrithi Gamondi! Atangazwa kuwa Kocha Mkuu mpya wa Yanga
Imagine mara mbili mfululizo boss anauza top quality players na Ndio maana kocha akaamua kujiuzulu pale Galaxy!
Wana Yanga wenzangu- huyu kocha ni balaa… tujivunie GERMAN MACHINE wetu!
Samahani mkuu hivi chikola bado yupo tabora united?Ata
Atawafunga makolo goli 5
Ataendeleza Gamondi alipoishia Sasa makolo watafungwa mara 10 mfululizo
Ukishakuwa shabiki pinzani unaweka pembeni logics zote. You are right!!Tatizo tabora hawajashuka daraja na chikola bado yupo. Sa sijui itakuwaje?
Chikola Anacheza SimbaSamahani mkuu hivi chikola bado yupo tabora united?
Mbona mnajieleza sana😆Watu mnaoleta takwimu za GERMAN MACHINE… mtakua hamfaham mpira!
Mpira umebadilika siku hizi…
Carlo anceloti akiwa Everton alipigika saana lakini haikuwazuia REAL MADRID kumchukua tena.
Vincent Kompany beki kisiki wa Man City, Aliishusha Burnley Daraja lakini Bayern Munich walimsajili na Ndio kocha lao
Siku hizi timu nyingi zinaangalia mfumo wa kocha kama unaendana na timu yao…
Huyu kocha pale galaxy ameiunda timu msimu wa kwanza, msimu unaofata boss akauza first eleven yote akaunda tena timu ikawa tishio, msimu ulioisha tena boss akauza kikosi cha kwanza 😅
Soma Pia: Rasmi: Sead Ramovic amrithi Gamondi! Atangazwa kuwa Kocha Mkuu mpya wa Yanga
Imagine mara mbili mfululizo boss anauza top quality players na Ndio maana kocha akaamua kujiuzulu pale Galaxy!
Wana Yanga wenzangu- huyu kocha ni balaa… tujivunie GERMAN MACHINE wetu!
Dozinna mabango Kwa makolo vitaendeleaMbona mnajieleza sana😆
Tunamuunga mkono na uongozi pia.Watu mnaoleta takwimu za GERMAN MACHINE… mtakua hamfaham mpira!
Mpira umebadilika siku hizi…
Carlo anceloti akiwa Everton alipigika saana lakini haikuwazuia REAL MADRID kumchukua tena.
Vincent Kompany beki kisiki wa Man City, Aliishusha Burnley Daraja lakini Bayern Munich walimsajili na Ndio kocha lao
Siku hizi timu nyingi zinaangalia mfumo wa kocha kama unaendana na timu yao…
Huyu kocha pale galaxy ameiunda timu msimu wa kwanza, msimu unaofata boss akauza first eleven yote akaunda tena timu ikawa tishio, msimu ulioisha tena boss akauza kikosi cha kwanza 😅
Soma Pia: Rasmi: Sead Ramovic amrithi Gamondi! Atangazwa kuwa Kocha Mkuu mpya wa Yanga
Imagine mara mbili mfululizo boss anauza top quality players na Ndio maana kocha akaamua kujiuzulu pale Galaxy!
Wana Yanga wenzangu- huyu kocha ni balaa… tujivunie GERMAN MACHINE wetu!
Hahahaaaa!wapumzisheni makolo.Umemaliza kila kitu
Wanaopiga kelele ni mbumbumbu
Hao hawawezi kukuelewa
Watashangaa wanapigwa 5 tena
Huwezi kuwalaumu wachambuzi hasa kuhusiana na daraja wanalompa Sead Ramovic kwa kutumia rekodi zake, kwani ndivyo uwezo wa kocha unavyopimwa.Watu mnaoleta takwimu za GERMAN MACHINE… mtakua hamfaham mpira!
Mpira umebadilika siku hizi…
Carlo anceloti akiwa Everton alipigika saana lakini haikuwazuia REAL MADRID kumchukua tena.
Vincent Kompany beki kisiki wa Man City, Aliishusha Burnley Daraja lakini Bayern Munich walimsajili na Ndio kocha lao
Siku hizi timu nyingi zinaangalia mfumo wa kocha kama unaendana na timu yao…
Huyu kocha pale galaxy ameiunda timu msimu wa kwanza, msimu unaofata boss akauza first eleven yote akaunda tena timu ikawa tishio, msimu ulioisha tena boss akauza kikosi cha kwanza 😅
Soma Pia: Rasmi: Sead Ramovic amrithi Gamondi! Atangazwa kuwa Kocha Mkuu mpya wa Yanga
Imagine mara mbili mfululizo boss anauza top quality players na Ndio maana kocha akaamua kujiuzulu pale Galaxy!
Wana Yanga wenzangu- huyu kocha ni balaa… tujivunie GERMAN MACHINE wetu!
Basi Mmekwisha Utopolo vipigo mfululizo vitawahusuWatu mnaoleta takwimu za GERMAN MACHINE… mtakua hamfaham mpira!