Wachambuzi wanaoleta Takwimu mbovu za Kocha mpya Yanga

Ukimaliza kuchambua kocha, uchambue wazee mixer na shisha, bata na sindano bila kusahau ndumba
 
Wachambuzi wanakwambia hajawahi kufika top 4 Psl /Hajawahi kucheza CAFCL /anashika mkia Psl πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ifike mahala tuwaache kama walivyo.. mi nmewaambia tu bado hawajasema
Hizo takwimu ni za uongo au ukweli ili tujue kosa la wachambuzi kwanza
 
Yule kocha wa Simba alikuja akiwa msaidizi wa mtu,Simba pale ndiyo nafasi ya kwanza kama kocha mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…