Wachambuzi wanawadanganya sana Simba au ni Yanga ndio haihongi wachambuzi kueneza propaganda?

AbuuMaryam

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2015
Posts
2,577
Reaction score
4,637
Ni jambo lililokuwa wazi toka usajili wao mpaka leo wamecheza na singida big stars...kuwa simba hakuna walichosajili...ila ilikuwa ukifungulia redio au kila kituo cha TV wakizungumzia michezo. SIFA KWA SIMBA AU YANGA ANAPONDWA(eti kisa tu MAYELE, BANGALA, DJUMA SHABAN na FEISAL WAMEONDOKA) Hakuna aliyekuwa akizungumzia usajili mpya wa YANGA wala Singida.

Simba wanajiharibu wenyewe kwa Propagandawanasifiwa ujinga...

Kwa mtu mwenye kujua mpira...SIMBA KIKOSI CHA MSIMU ULIOPITA NDICHO KILE KILE CHA MSIMU HUU. MAINGIZO MAPYA KUJA KUCHUKUA NAMBA MOJA KWA MOJA NI MOJA AU MAWILI TU.

Ila walivyokuwa wakipambwa unaweza dhani ni BAYERN MUNICH...Ila uwanjani ni POLISI TANZANIA.
 
Haraka ya nini wakati Jpili imefika ? Aliyesajili vizuri ataonekana siku hiyo . Tuache ushabiki wa kishamba.
 
Ni jambo lililokuwa wazi toka usajili wao mpaka leo wamecheza na singida big stars...kuwa simba hakuna walichosajili...ila ilikuwa ukifungulia redio au kila kituo cha TV wakizungumzia michezo. SIFA KWA SIMBA AU YANGA ANAPONDWA(eti kisa tu MAYELE, BANGALA, DJUMA SHABAN na FEISAL WAMEONDOKA) Hakuna aliyekuwa akizungumzia usajili mpya wa YANGA wala Singida.

Simba wanajiharibu wenyewe kwa Propagandawanasifiwa ujinga...

Kwa mtu mwenye kujua mpira...SIMBA KIKOSI CHA MSIMU ULIOPITA NDICHO KILE KILE CHA MSIMU HUU. MAINGIZO MAPYA KUJA KUCHUKUA NAMBA MOJA KWA MOJA NI MOJA AU MAWILI TU.

Ila walivyokuwa wakipambwa unaweza dhani ni BAYERN MUNICH...Ila uwanjani ni POLISI TANZANIA.
Hofu yatanda
 
Mbona wanaosifiwa sana ni Yanga
 
Kama kocha na Try again wanasifia sisi ni nani tukatae?
Jumapili huenda simba hii na wakacheza kama jana wanapigwa wiki.
 
Mbna malalamiko yamekuwa mengi mno???
Ni jambo lililokuwa wazi toka usajili wao mpaka leo wamecheza na singida big stars...kuwa simba hakuna walichosajili...ila ilikuwa ukifungulia redio au kila kituo cha TV wakizungumzia michezo. SIFA KWA SIMBA AU YANGA ANAPONDWA(eti kisa tu MAYELE, BANGALA, DJUMA SHABAN na FEISAL WAMEONDOKA) Hakuna aliyekuwa akizungumzia usajili mpya wa YANGA wala Singida.

Simba wanajiharibu wenyewe kwa Propagandawanasifiwa ujinga...

Kwa mtu mwenye kujua mpira...SIMBA KIKOSI CHA MSIMU ULIOPITA NDICHO KILE KILE CHA MSIMU HUU. MAINGIZO MAPYA KUJA KUCHUKUA NAMBA MOJA KWA MOJA NI MOJA AU MAWILI TU.

Ila walivyokuwa wakipambwa unaweza dhani ni BAYERN MUNICH...Ila uwanjani ni POLISI TANZANIA.
 
Sisi mashabiki wa timu inayoshinda tunakaa upande upi hapo
 
Back
Top Bottom