Uyu mrundi uwa ana mental paranoid ni tatizo kubwa sana,muda wote yeye ni kupinga na kujiona anajua kila kitu,huu ugonjwa wa kujua kila kitu na kupenda ugomvi ni tatizo hasa kwa watu wenye asili ya Burundi na Rwanda
Aiseee huyu nae ana wadau wanaofuatilia page yake ili wapate chochote kuhusu football?
Kama apo haoni kuwa ni offside eti kisa Manula kagusa kumbe jamaa ameendelea kushikilia sheria za zamani sana, siku izi kama ulikuwa kwenye position ya offside wakati mpira unapigwa golini golikipa akitema ukifunga wanasema umetumia advantage ya ww kuwa offside kwahiyo inakuwa sio bao.