Wachambuzi watawaponza Yanga na kuwapa mileage Simba

Ng'wanamangilingili

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2015
Posts
5,778
Reaction score
4,859
Wachambuzi wale wa kibongo karibia radio stations zoooote naona wanaisodoa sana Simba na kuwapa nafasi kubwa Yanga ya kufuzu nusu fainali.

Wachagoat hawa wanatumia misamiati mingi sana na kucheza mpira wa mdomoni na makaratasi na takwimu na kiwango cha timu zote mbili hapa nyumbani bila kujua kuwa na teams zingine zina league zao zinacheza na historia zao pia na matamanio kama tuliyonayo watanzania, tukumbuke wengine walishamuua simba mara baada ya kupoteza game ya Horoya na Raja, na wakaipa nafasi ya moja kwa moja Yanga baada ya mechi 2 point 4!

Mashindano haya kwa hesabu nyepesi unaweza kuona ni vyepesi kupenya robo ila utajua hujui baada ya mechi za tano na ile ya mwisho ndio utaona hata nafasi ya pili sio mchezo kuipata.

Niwatakie mafanikio mema Yanga jumapili na Simba jumamosi. Ila tu niwakumbushe kuwa ule msemo wa do or die ama kwa mkapa hatoki mtu na vita zote (credits kwa Manara) manaake kabisa mtaiona hiyo jumamosi kwani mechi za maamuzi ndio utaona akina Chama sijui Shaba na Kapombe et al kama wamevuta bhange za Blantyre watakavocheza na kukaza hadi tushangae, Simba anaonekana ana dema dema ila ndio mwendo wa kobe [emoji217] atafika tu aendako...na robo fainali ataingia. Blanketi la babu halikosi chawa.

Mpira dk90.
 
Nashadadadia uzi huu
 
Bahasha za GSM zimewapofua

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom