rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Nipe uchambuzi wa kitalaamu mechi ya jana Yanga Vs AzamKwa wale mnaofatilia mipira ya nje namaanisha ligi za Ulaya au michuano ya kimataifa, kila baada ya mechi kunakuwa na uchambuzi wa timu na wachezaji binafsi kupewa makisi kutokana na uchezaji wao na wapi walikosea.
Cha ajabu huku kwetu hakuna uchambuzi wa kitaalamu zaidi ya kusifia mchezaji fulani alikuwa nyota au kumtaja mchezaji fulani alidhibitiwa bila kujali hata huyo aliyedhibitiwa alifunga goli au kutoa pasi ya goli.
Sanasana wamekuwa wakiripoti mapenzi binafsi kwa kifupi inabidi wabadilishe namna ya kutathimini mechi
Uchambuzi sio muhimu kwenye mpira.Mimi sio mchambuzi mfano fatilia mechi ya Aston villa na Chelsea goal.com baada ya mechi utaona kuna player rating ambako unafanyika uchambuzi wa mchezaji mmoja mmoja na timu nzima
Uchambuzi sio muhimu kwenye mpira.
ππππmi kwangu muhimu matokeo,tatzo la uchambuzi watu wanajadili studio utasikia mchezaji flani atolewe aingie fulani mambo mengiii,Wee kweli hujui mpira
Duh wee jamaa bwana sasa wee uchambuzi ndio unakusaidia wewe kujuankwa nini timu moja inashinda na nyingine kufungwaππππmi kwangu muhimu matokeo,tatzo la uchambuzi watu wanajadili studio utasikia mchezaji flani atolewe aingie fulani mambo mengiii,
alafu kocha na wachezaji wanajadili changing room haileti impact yoyote kwa mabadiliko mechi.
Angejua mpira asingetoa hoja kama hiyoWee kweli hujui mpira
Mimi nikiangalia game najua tu kwanini Azam na Yanga walitoka sare basi inatosha nianze nikae nisikilize anisimulie nichoangalia mda huo huo,mi nimeshindwa kufwatilia uchambuzi kwa kweli.Duh wee jamaa bwana sasa wee uchambuzi ndio unakusaidia wewe kujuankwa nini timu moja inashinda na nyingine kufungwa
Mkuu ni kweli wewe tupo pmj na mimi,mpira nimeangalia mimi najua hayo yote et baadae mtu akae pale aanze kunisimulia na kujitia yeye ndio kocha utasikia kocha afanye mabadiliko kwenye safu ya ulinzi, Tz wajuaji kila kitu.bongo hapa hakuna wachambuzi wa soka mzee,waliokuwepo ni wasimuliaji tu.....kama wale wanaopenda kusimulia muvi kipindi kile shuleni utakuta mtu kakusanya rundo la watu wamemzunguka anawasimulia muvi aliyoiona jana usiku hahahahahaha
sasa mtu anachambua soka unamsikia anasema "alikimbia kama mita 3 akaturn akaangalia kushoto akapiga shuti katika angle ambayo hata angekua degea asingedaka " sasa kwani wewe ni kipofu hayo yote hujayaona?
Ndugu yangu unafuatilia kituo gani cha media, nikushauri mfuatilia George Ambagile Wasafi FM yuko vizr sana kuelezea tactics jinsi mpira ulivyochezwa, au kidogo hawa Kipyenga cha East Africa Radio cha saa mbili usiku, utakutana pia na mafundi.Kwa wale mnaofatilia mipira ya nje namaanisha ligi za Ulaya au michuano ya kimataifa, kila baada ya mechi kunakuwa na uchambuzi wa timu na wachezaji binafsi kupewa makisi kutokana na uchezaji wao na wapi walikosea.
Cha ajabu huku kwetu hakuna uchambuzi wa kitaalamu zaidi ya kusifia mchezaji fulani alikuwa nyota au kumtaja mchezaji fulani alidhibitiwa bila kujali hata huyo aliyedhibitiwa alifunga goli au kutoa pasi ya goli.
Sanasana wamekuwa wakiripoti mapenzi binafsi kwa kifupi inabidi wabadilishe namna ya kutathimini mechi
Kweli kabisa mzee George ambangile yupo vizuri Sana anajua kuichambua soka in deep mpaka Raha PayrolNdugu yangu unafuatilia kituo gani cha media, nikushauri mfuatilia George Ambagile Wasafi FM yuko vizr sana kuelezea tactics jinsi mpira ulivyochezwa, au kidogo hawa Kipyenga cha East Africa Radio cha saa mbili usiku, utakutana pia na mafundi.
Huko kwingine wanajua kuchambua siasa za kwenye mpira
Uchambuzi hauna maana ,kuwe tu na mtangazaji mzuri wa mechi,kwanza kama unaangalia mechi mchambuzi wa kazi gani wakati kwa macho unaona kinachofanyikaππππmi kwangu muhimu matokeo,tatzo la uchambuzi watu wanajadili studio utasikia mchezaji flani atolewe aingie fulani mambo mengiii,
alafu kocha na wachezaji wanajadili changing room haileti impact yoyote kwa mabadiliko mechi.
Ambangile anajitahidi kufanya analysis ila hapewi muda wa kufanya hivyo,badala yake muda mwingi wanamtoa kwenye reli na kujikuta na yeye amekuwa msikilizaji au mpiga zogo tu....kifupi uchambuzi upo mbele tu,bongo nyosoNdugu yangu unafuatilia kituo gani cha media, nikushauri mfuatilia George Ambagile Wasafi FM yuko vizr sana kuelezea tactics jinsi mpira ulivyochezwa, au kidogo hawa Kipyenga cha East Africa Radio cha saa mbili usiku, utakutana pia na mafundi.
Huko kwingine wanajua kuchambua siasa za kwenye mpira
Ishu nyingine zinakwama sababu ya teknolojia...mfano km aizokimbia mchezaji au tackle alizofanya machine inahusika hapo then wachambuzi wanafanya analysis kwenye framework ya hizo takwimu....BT kwa bongo hapa inakua ngumu..inabidi waangalie tu nani kakimbiza...nani kakabwa Leo na blah blah.Mimi sio mchambuzi mfano fatilia mechi ya Aston villa na Chelsea goal.com baada ya mechi utaona kuna player rating ambako unafanyika uchambuzi wa mchezaji mmoja mmoja na timu nzima