Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Ambangile yupo vizuri sana kichwani laiti angetumia page zake za mitandao ya kijamii kuanalyse mechi za nyumbani kama ilivyo za Ulaya tungepata unbiased analysis bora zaidi kuliko hata yale mambo 10 ya Ali Kamwe.
Mimi nadhani George namwelewa sana kwa sababu siyo mfatiliaji wa soka letu kivile. Nikipata matokeo inatosha.
Kuna wakati nashindwa kutofautisha kwa sababu ni yeye pekee nayemfatilia kwa ukaribu. Namwelewa sana jamaa.