Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Ambangile yupo vizuri sana kichwani laiti angetumia page zake za mitandao ya kijamii kuanalyse mechi za nyumbani kama ilivyo za Ulaya tungepata unbiased analysis bora zaidi kuliko hata yale mambo 10 ya Ali Kamwe.
Dah! aisee sina cha kusema zaidi hiki kimtu ni takataka....nilishawahi kuwa nime kifollow huko twitter,nikawa sikielewi...kuna siku nikakuta kimeandika mipasho kabisa kwenda kwa nani sikumbuki..nikaki unfollow faster na tofali juu.Kuna kipuuzi kinajiita privadinho ni kibishi sana kina kiherehere mnooo ila nimweupe santaa