Wachangiaji bora wa mwaka

Wachangiaji bora wa mwaka

kabla mwaka haujaisha, ningependa kila mtu aseme mtu ambae amekua bora kwake katika uchangiaji, kuchekesha pamoja na pumba[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

ukiachana na kiduku lillo, naanza na huyu jamaa amepotea sana mzee wa kuchakata papuchi,

ZERO IQ

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao ni wachangiaji au waleta mada za ajabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom