Wachawi mliopo JF nitoleeni ufafanuzi wa hiki kilichonitokea usiku.

Sawa mkuu ila ngoja nikurekebishe kidogo umeongoka na sio kuokoka...
Huwezi kuurekebisha wokovu wangu mimi nimeokoka, wala sibahatishi tena sijakaririshwa na dhehebu wala mchungaji wangu kwamujibu wa biblia rejea injiri ya yohana sura ya 5;24 na yohana 10:10.na waraka wa mtume Paulo kwa wakorosai 1:13 utaelewa nini namaanisha, habari ndiyo hiyo sikurazimishi kuniamini .bat ukitaka usarama amini maneno haya nawe utaokoka.
 
Hakuna uchawi hapo ila uliulalia mshipa mkubwa unaoingiza damu katika moyo hivyo kuufanya moyo kupungukiwa damu katika chemba zote hali ulio kua imekutokea ni shida ya ubongo na moyo kitokupata damu ya kutosha
 
Mahazari unalalaje Mkuu... Nalaliaga tumbo hata Mimi naamkaga nimechoka sana
 
Mshana Jr upo vizuri mkuu [emoji1] [emoji1]
 
usipende kulala kifudifudi utakujaga kufa majinamizi yanapenda kukaba watu wanao lala kifudifudi
Hiv mkuu kulala chali au kifudifudi ndo tatizo??? Me naona hua inanitokea hiyo hali nkilala chali
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
nimecheka sana mkuu ujue wewe sio mdadisi ulipopapasa yake makalio ungezunguka na mkono hadi uguse nyeti zake bila shaka mngemalizana haja za mwili kulingana na matokeo mguso kwenye nyeti.

Pole sana mkuu [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Hiyo hali hutokea pale mwili unapokua umelala lakini akili/ubongo unakua umeamka...

Ni hali ya kawaida kumtokea binadamu, kama vile kutembea ukiwa usingizini...

Cc: mahondaw
Well said...Jamaa itabidi ajaribu kuangalia documentary fulani hivi inayoitwa "where do we go when we go to sleep"...Atapata majibu yote, hakuna uchawi mkuu...
 
Hakuna uchawi hapo ila uliulalia mshipa mkubwa unaoingiza damu katika moyo hivyo kuufanya moyo kupungukiwa damu katika chemba zote hali ulio kua imekutokea ni shida ya ubongo na moyo kitokupata damu ya kutosha
Angekufa angeendelea kulalia huo mshipa?
 
Mkuu,Nimekupata vyema lakini sijakuelewa hapo kwenye "Kuzimua" maana yake hiyo ni nini
 
Ngoja nione kama na Leo atakuja nimpe blow job[emoji2] ,kesho ntaleta mrejesho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…