snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,065
- 24,559
mwambie apitie mabwe nimpe na vyangu!ndo ajueacha dharau nenda Faculty of education siku hizi inaitwa college of education kaangalie wanafunzi walioanza 2000 walikwenda kusoma ualimu wakiwa na point ngapi??
halafu usiwe na akili fupi eti kama kuna mwenye point 9 sasa naomba Invisible aniruhusu nikuwekee vyeti vyangu vyote hapa.
kisha nakuomba kesho asbh nenda pale COET ulizA mwaka juzi na mwaka jana wanafunzi waliosoma uhandisi wanakwenda na minimum point ngapi ndipo uje ujambe upuuzii wako hapa.
halafu nenda College of business school kaangalie wanafunzi wanaosoma kule shahada wengi waliosoma ECA, na HGE wameingia na qualification gani kama utakuta div 1 zikiwa nyingi kama za wanafunzi waliosoma PCB na PCM. hivi umewah kumkuta lini mwanafunzi amesoma ECA akawa na div 1 ya point 3?? sasa kuliko kubwabwaja ujinga wako kaa chini ufikiri kwa makini.
kumbuka kwamba maslah madogo ya kazi yenyewe yamewafanya watu wasomee ualimu kisha wakimaliza waukimbie kama huamini chunguza graduates wa 2000-2006 nenda mashulen uwafanyie hesabu utawakuta ni 1/4 tu ndio wamebaki wengine wote wapo kwenye kazi tofauti na wamejiendeleza kwa maslah yao.
idadi ya graduates wa ualimu ni kubwa kuliko fani yyte ile ila kazini wapo wachache kuliko fani nyingine yyte umewah kujiuliza sababu?? na wamekwenda wapi??
Yaani ulivyonikera natamania kesho nikwambie uje ofcn kwangu nikuonyeshe kinachoua elimu ya taifa hili ili ubongo wako uwe na akili. nyambaffffffffffff
sio kukaa hapa na kupomoka pomoka tu!